RAISI MAGUFULI AUA SHULE ZA CCM
Sera ya elimu bure kwa
wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari iliyoanza kutekelezwa na serikali ya
awamu ya tano, chini ya raisi magufuli imesababisha shule nane kati ya 11
zinazomilikiwa na jumuiya ya wazazi ya CCM mkoa wa kilimanjaro kuwa katika
hatari ya kufugwa wakati wowote kuanzia sasa kutona na shule hizo
Akizungumza katika hotuba
yake ya ufunguzi wa mkutano wa wa jumbe wa bodi ya jumuiya hiyo kama sehemu ya
maazimisho ya 39 ya kuzaliwa kwa CCM ulifanyika katika shule ya sekondari ya
kibo iliypo mjini hapa, mwenyekiti wa wazazi wa mkoa huo, Festo Kalawe alisema
sera hiyo ya elimu bure imesababisha wazazi walio wengi kuwaondoa watoto wao katika shule za wazazi na kuwahamishia katika shule za umma
