MAGUFULI AUA SHULE ZA CCM
Mfumo wa elimu bure ulioanzishwa na raisi magufuli umizitia hasara shule nyingi za CCM ZINAZOJULIKANA kama shule za waziza kutoka na ukweli kuwa shule hizo kwa sasa zinazakosa wanafunzi na waliokuwepo wanahamia shule za umma ambako raisi magufuli amepitisha mpango wa elimu bure, hali hiyo inawatesa sana wajumbe wa bodi ya wazazi mkoani kilimanjaro, mpaka wakafikia kutoa ripoti kwenye kikao cha wajumbe wa bodi hiyo wakati wakiazimisha siku ya kuzaliwa kwa CCM, miaka 39, Ambapo kiongozi alisema shule 9 katika 11 ziko hatarini kufugwa
