PICHA 6::MOTO WATEKETEZA GODAUNI LA MAFUTA JIJINI MBEYA
Kikosi cha Zima Moto pamoja na Jeshi la Polisi wakiwa katika uzimaji wa Moto ulio zuka Ghafra tangu Alfajiri ya leo kwa chanzo kinachosemekena ni Shoti ya Umeme na kuteketeza Vitu vyote vilivyokwemo katika Godauni la Mafuta yakupikia eneo la Foresti Mpya Jijini Mbeya.
Zoezi la uzimaji Moto likiendelea..
Kikosi cha Zima Moto kwa kushilikiana na Jeshi la Polisi wakiendelea na Zoezi la uzimaji Moto katika Godauni hilo la Mafuta eneo la Ferest Mpya Jijini Mbeya..
Jeshi la Polisi na Jeshi la Zima moto lilifanikiwa kuuzima moto huo ulio zuka kwa chanzo kinacho sadikika kuwa ni Shoti ya Umeme.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MBEYA.
Hivi ndivyo hali ilivyo kuwa leo katika Tukio la Moto huko Jijini Mbeya.Chanzo Mtaa kwa Mtaa Blog