Rapper mtanzania aliyewahi kushirikishwa na Kanye West kuitoa hii yake album sokoni…
Ni headlines za rapper aishiye Marekani
‘Minnesota’ mwenye asili ya Tanzania ambaye aliwahi kushirikishwa na
Kanye West kwenye ngoma iitwayo ‘All Day’.
Good news ninayotaka kushea na wewe ni kwamba mtanzania huyo hivi karibuni anatarajia kuachia album yake mpya iitwayo ‘NORTHERN LIGHTS’ tarehe 6 mwezi January tukae mkao wa kuipokea.