Wakenya hawajaipenda hii !! Rais Kenyatta anaendesha gari na hajafunga mkanda.. (+Video)
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa hii itakuwa ni mara ya pili kumuona Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anakaa kwenye kiti cha dereva na kujiendesha mwenyewe kwenye gari !!
Hii mpya ni kipande cha interview aliyofanyiwa Rais Kenyatta na mtangazaji wa Citizen TV, Jacque Maribe… ni kipande cha sekunde 15 za promo ya interview hiyo lakini inaonekana Wakenya wengi hawajapenda kuona Rais wao anaendesha gari huku akiwa hajavaa mkanda.
Video yenyewe hii hapa.