MTIFUANO LEO TENA BUNGENI, WABUNGE WAUPINZANI WAJIPANGA KWA MAMBO HAYA MAZITO

Bunge linatarajia kuendelea leo mjini Dodoma baada ya wiki iliyoptia bunge hilo kuhitimishwa kwa mitifuano mkali baina ya seriakli na baadhi ya wabunge wa kambi rasmi ya upinzani.




wkiwaongoza wabunge wenzao wa kambi ya upinznai wiki iliyopita, wabunge Tundu Lissua. na Zitto  Kabwe waliilazimsha serikali kuondoa hoja yake kuhusu mapango wa maendeleo wa miaka mitano ijayo2016/2017-2020/2021, baaday ya serikali kuwasilisha bungeni mapendekezo badala ya mpango kamili.
Hata hivyo bunge Tundu Lissu anatarajiwa kuibaina serikali tena leo kamakwaida yake, Hivyo  usikose kufuatilia bunge hili
SOMA HABARI KAMILI HAPA CHINI
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.