MAHAKAMA KUU YA KUBALI OMBI LA MBUNGE WA KINONDONI LA KUTOBOMOLIWA NYUMBA KWA WAKAZI WA DAR
#HABARIZAHIVIPUNDE Kufuatia mbunge wa kinondoni kupeleka kesi mahakamani ya kupinga kuendelea kubomolewa nyumba kwa wakazi wa dar es salaam hatimaye:Mahakama kuu kitengo cha ardhi imeweka zuio la kutobomolewa wananchi nyumba zao mpaka kesi ya msingi ikamilike.