HABARI ZA HIVI PUNDE: BASI LAUA ABIRIA BAADA YA KUPATA AJALI NAKUTUMBUKIA MTONI

Basi la Al hoshoom la Dar-Mbeya maiti zilizopo eneo la tukio ni nne na majeruhi lkn inasemekana wengi wanaweza kuwa wamesombwa na maji sababu basi imetua chini darajani na waliosalimika ni wale waliofunga mkanda.
Taarifa rasmi za ajali ni kuwa ajali imetokea eneo panaitwa njia panda ya Msosa pana daraja na mto gari imepinduka mpaka mtoni na wameumia watu wengi wakiwa wamekatika mikono akina mama na baba wamepitishwa hapa wengine wakiwa hawana mikono miwili wengine mmoja na mikono yao imevuliwa baada ya wao kupelekwa hospitali Iringa waliofariki inasemekana wamesombwa na maji juhudi za kuwatafuta zinaendelea mpaka sasa ni viungo tu vinapatikana