MECHI ZOTE ZITTAKAZO CHEZWA LEO DUNIA ZIKO HAPA ZAITAZAME

Ligi Kuu soka Tanzania bara imesimama kwa muda kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanza January 3 2016 Zanzibar, lakini hiyo haimaanishi mtu wangu hakuna mechi kali za soka weekend ya January 2 na January 3. Najua bado unasherehekea mwaka mpya lakini, hizi ndio mechi 21 sio za kukosa siku ya Jumamosi ya January 2 na Jumapili January 3. Hii ni ratiba ya mechi za Kombe la Mapinduzi, Ligi Kuu Uingereza na Hispania.









Kombe la Mapinduzi Jumapili ya January 3
  • Yanga Vs Mafunzo Saa 16:15
  • Mtibwa Sugar Vs Azam FC saa 20:15
Hii ni ratiba ya Ligi Kuu Uingereza ya January 2 na 3
1
Hii ni ratiba ya mechi za Ligi Kuu Uingereza kwa saa za Afrika Mashariki
  • West Ham Vs Liverpool Saa 15:45
  • Arsenal Vs Newcastle Saa 18:00
  • Leicester Vs Bournemouth Saa 18:00
  • Man Utd Vs Swansea Saa 18:00
  • Norwich Vs Southampton Saa 18:00
  • Sunderland Vs Aston Villa Saa 18:00
  • West Brom Vs Stoke Saa 18:00
  • Watford Vs Man City Saa 20:30
Jumapili ya January 3
  • Crystal Palace Vs Chelsea Saa 20:30
  • Everton Vs Tottenham Saa 19:00
Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Hispania
2
Ratiba ya Ligi Kuu Hispania kwa saa za Afrika Mashariki
  • Espanyol Vs Barcelona Saa 18:00
  • Atl Madrid Vs Levante Saa 22:30
  • Málaga Vs Celta de Vigo Saa 00:05
Jumapili ya January 3
  • Rayo Vallecano Vs Real Sociedad Saa 14:00
  • Granada CF Vs Sevilla Saa 18:00
  • Real Betis Vs Eibar Saa 18:00
  • Ath Bilbao Vs Las Palmas Saa 20:15
  • Deportivo de La Coruña Vs Villarreal Saa 20:15
  • Valencia Vs Real Madrid Saa 22:30
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.