Leo ndio siku ya mwisho kazini kwa Kamanda Suleiman Kova, ambaye amefikia muda wa kustaafu. Nini utakikumbuka kutoka kwa Mzee huyu?