Ada elekezi kufunga shule binafsi
Dar
es Salaam. Uamuzi wa Serikali kuandaa ada elekezi kwa vyuo, shule za
msingi na sekondari zinazomilikiwa na watu binafsi au mashirika ya dini,
unatarajiwa kuwaweka wamiliki wake katika wakati mgumu na huenda ukawa
mwanzo wa mwisho wa baadhi ya shule.