Panga la Magufuli lamkuta katibu ziarani

Panga la Rais John Magufuli lililowakata baadhi ya makatibu wakuu na manaibu wao,
lilimkuta pabaya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Paul Masanja ziarani
mkoani Mbeya na Naibu Waziri, Dk Medard Kaleman.
BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI