MUUZA MATUNDA MBARONI KWA KUJIFANYA AFISA WA TFDA
MFANYABIASHARA wa matunda katika miji ya Tarime, Shinyanga na Mwanza, Paulo Alex Mwela (35), mkazi wa Nyamwaga, Tarime, ametiwa mbaroni mjini hapa akidaiwa kukutwa akifanya upekuzi na ukaguzi wa maduka yanayouza vipodozi na kuyafunga akijitambulisha ni Ofisa wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA).
SOMA ZAIDI KISA KIZIMA HAPA