Video: Mayweather ataja wapinzani wake wa mwisho
Floyd Mayweather ameibuka na kutaja wapinzani anaotarajia kupigana nao kwa mara ya mwisho Septemba hii kuwa ni Oscar De La Hoya na Gennady Golovkin.
Bingwa huyo ambaye ameshinda mapambano yote alitangaza hivyo kufuatia ushindi wake dhidi ya Manny Pacquaio mwezi Mei kwamba atatundika glavu zake kwa mara ya kwanza badae mwaka huu, huku Amir Khan akitajwa kuwa ndiyo mpinzani mkuu.
id="attachment_42960" style="text-align: center; width: 644px;">
Mayweather akiwa amepozi na Shawn Porter na Adrien Broner (kulia) kwenye Mayweather Boxing Club