List ya mastaa wa bongo waliojichubua na kuwa weupe hii hapa

Mwimbaji Richi Mavoko Aingia
Katika listi ya Mastaa wa Kiume
Waliojiclhubua Ngozi na Kuwa
waupe
List ya Masuper star wa Kiume Bongo
waliojibadilisha ngozi kwa kutumia mkorogo ama
madawa inazidi kunona baada ya Msanii Richi
Mavoko Kusemekana naye amejichumbua ngozi
kwani muonekano wake wa kabla na sasa ni
tofauti sana kama inavyoonekana hapo juu
kwenye picha....
Picha hiyo imewekwa instagram na mdau mmoja
na hivi ndiyo watu walivyoichukulia:

Toa  maoni yako

Theme images by hanoded. Powered by Blogger.