Mtanzania akamatwa akihusishwa na mauaji ya kenya


Mtanzania Akamatwa Akishukiwa
Kuhusika na Shambulizi la Al
Shabaab Lilioua Watu 147 Kenya
Mtanzania mmoja ambaye hajafahamika
amekamatwa kuhusiana na shambulio la kigaidi
katika Chuo Kikuu cha Garissa, Kenya.
Taarifa zilizopatikana jana usiku na kutangazwa
na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC),
zilieleza kuwa Mtanzania huyo anahojiwa kuwapo
kwake katika eneo hilo hasa ikizingatiwa kwamba
siyo mwanafunzi wala mtumishi katika chuo
hicho.
Taarifa hizo zinasema kuwa Mtanzania huyo ni
miongoni mwa watu wanne waliokuwa
wamejificha katika mabweni ya chuo hicho na
kati yao, wawili walibainika kuwa ni wanafunzi.
Hata hivyo, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera
Bulimba alipoulizwa jana kuhusu Mtanzania huyo,
alisem

Theme images by hanoded. Powered by Blogger.