Diamond mimba ya Zari imetoka


Diamond Platnumz...Ehee Mimba
ya Zari Imetoka !!!
Mwanamuziki ambaye pia ni Rais wa Wasafi
Classic Baby (WCB, Nasibu Abdul ‘Diamond’
ameshangazwa na madai kuwa eti mimba ya
mpenzi wake Zarina Hassan ‘Zari’ imetoka na
kuwataka Wabongo kuacha tabia ya uzushi.
Akizungumzia madai yaliyokuwa yamezagaa
mtandaoni kuwa ile mimba yake aliyokuwa akiilea
kama yai kwa Zari imechoropoka, Diamond
alisema:
“ Hee! Eti mimba ya Zari imetoka! Wanaosema
hivyo walaaniwe. Mbona Wabongo wazushi sana,
itakuwaje hivyo halafu nisijue. Zari yuko fiti na
mimba inaendelea vizuri, ona picha za
kitumbo (anamuonesha paparazi picha za Zari
kwenye simu yake).
“ Kuna wapuuzi wacha

Theme images by hanoded. Powered by Blogger.