BAADA YA JUMA JUX KUONYESHA MJENGO WAKE DIAMOND THE PLATNUMZ NA YEYE AONYESHA YAKE NA KUSEMA NI NYUMBA YAKE YA KUMI
this
is what we call music and competition kiukweli watanzania wengi
wanakuwa na furaha pindi wanapoona wasanii wao wanafanya vitu vya maana
badala ya kutaftiana skendo za kutoka na mara mwanamke huyu mara yule,
so kama ulikuwa hujui hapo juzi kati msanii juna jux aliamua kuonyesha
mjengo wake kupitia mtandao wa makubwa haya, kitu ambacho kiliwapa
maswali mengi washabiki eti kwa pesa gani anazopata mpaka awe na mjengo
kama ule, all in all inawezekana coz ni miongoni mwa wasanii ambao
wanaojituma sana kwenye kazi zao..
hahah
wadau wana visa eti kuna shabiki mmoja alifunguka na kusema eti since
2010 ndio hiyo nyumba ilianza kujengwa na kumalizika leo haha, but si
kweli baada nakumbuka last time diamond the platnumz ameonyesha nyumba
yake hiyo ilikuwa mwaka jana haya nanukuu maneno ya diamond the platnumz
A year ago| Three weeks ago.... The Making of the State House!!!! My
10th House!..By the way Don't get twisted, das jus a Pool area #Gym
#Jaccuzi #Counter #DancingHall #Studio #DartsCourt #BasketballCourt
Etc.....

