Chege akanusha kuvaa hirizi kwenye picha iliyozagaa mtandaoni
Chege Chigunda amekanusha vikali tuhuma zilizotokana na kusambaa kwa
picha akiwa jukwaani na huku mkononi mwake (karibuni na kwapa)akiwa na
kitambaa cheusi ambacho baadhi ya watu wanahisi ni hirizi.

Mtu wa kwanza kuikuza picha hiyo na kuandika kuwa ana mashaka kuwa kitambaa hicho huenda kikawahirizi, ni Maimartha Jesse.“Angalia mkono wa kushoto wa chegge @chegechigunda hiiii ni hirizi? any way isiwe kesi jiachie chege ila mziki mziki wako naupenda hata ukiniroga sawa Tu…japo cna imani hiyoo,” aliandika mtangazaji huyo wazamani wa EATV.

Kauli hiyo ya Maimartha ilimfanya Chege kuamua kutoa ufafanuzi.
“Ushamba+roho mbaya+uandishi bila kusomea ni hatari sana hahaaahahahahahhaa eti waandishi magumashi wanadai nimevaa hirizi hahahhaaaaa hii tulivaa juzi Dodomasiku ambayo alifariki msanii mwenzetu marehemu mez b,msiwe vimbele mbele @maimarthawajesse @waandishimagumashi,” aliandika Chege.