KUHAMISHWA KWA STENDI YA UBUNGO YAINGIA KATKA SURA MPYA
Matarajio ya kuanza kwa ujenzi wa stendi kubwa ya mabasi yaendayo mikoani katika eneo la Mbezi Luis, mwezi ujao huenda ikawa ndoto kutokana na ukweli kwamba hakuna maandalizi yoyote yanayofanyika.