ZARI MKE WA DIAMOND THE PLATNUMZ AANZA KUVAA HIJABU
haya
wadau na mashabiki wa msanii mkubwa wa Tanzania bwana Diamond the
platnumz wameshangazwa na tukio alilolifanya mwanadada zari leo siku ya
ijumaa, na kuwaacha wadau wengi mdomo wazi na maswali mengi mdomoni ya
kujiuliza? Inaamana mwanadada huyu ndio yupo mbioni kubadilishi dini au?
Haya na hii ndio kauli ya zari kupitia mtandao wa makubwa haya Promise
to give soo much time to improving yourself that you have no time to
criticize others. Juma kareem!
