TAZAMA AJALI MBAYA YATOKEA MAENEO YA MKATA
Wasamaria wema wakinasua dereva wa gari ndogo
Dereva wa Gari ndogo akiwa haamini kama amepona
Ajali
hii imehusisha basi la abiria la Meridiani pamoja na gari ndogo
binafsi.Dereva wa gari binafsi amenusurika kifo baada ya gari yake
kuharibika vibaya.
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)