SIMBA SC WATUA JIJINI DAR NA KOMBE LA MAPINDUZI
Kipa wa Simba SC, Manyika Peter akikabidhi Kombe la Mapinduzi kwa mashabiki wa timu hiyo mara baada ya kuwasili kutoka Mjini Zanzibar leo.
KIKOSI
cha Wekundu wa Msimbazi, Simba SC kilichotwaa Kombe la Mapinduzi jana
usiku kwa kuifunga Mtibwa Sugar kwa penalti 4-3 kimewasili jijini Dar
leo kikitokea Mjini Zanzibar