WEMA SI KITU KWA ZARI TAZAMA MUONEKANO WAO HAPA UTAJUA NANI ZAIDI
Kwenye
Mitandao ya Jamii Hasa Instagram kwa Sasa zimeibuka Team Mbili Kubwa
zinazoshinda huko kwa Kupeana Vijembe vya Hapa na Pale Kuhusu Wema
Sepetu na Mrembo Zari The Lady Boss wa Uganda, Ushandani huo wa Team
Zari na Team Wema Umekuja Baada ya Mwanamuziki Diamond Kuwa na
Mahusiano ya Kimapenzi na Wote hao wawili kwa Muda tofauti ambapo kwa
sasa Diamond Ameweka Wazi Kuwa anatoka na Zari ...
Ubishi mmoja wapo ni kuwa nani ni mzuri wa Umbo na Sura kati ya wema Spetu na Zari , Nasisi hatuna hiyana tumeona tuwabambanishe Hapa tuone nani atapata kura nyingi ...
Haya Nani Mrembo zaidi kati ya Wema Sepetu na Zari The Lady Boss?