MCHUNGAJI ZAYUMBA WA DODOMA AMDATISHA WEMA SEPETU NDANI YA UKUMBI WA MATEI LOUNGE
|
Mchungaji
Zayumba ni msanii wa Hip Hop anayefanya vizuri
kwenye Industry ya Muzic mjini Dodoma ...Alionekana
kuvunja mbavu mada wema sepetu kwenye Ukumbi wa
Matei Lounge ambapo kulifanyika Party ya funga
mwaka...Mchungaji Zayumba alimpa vijembe mdam vya
wazi wazi na kufanya madam pamoja na mama kijacho
kushidwa kujizuaiya ukumbini na kujisahau kama yuko
Ugenini na kuangua kicheko cha ushankupe na kufanya
mashabiki nao wazidi kuwa na mzuka...Ilikuwa ni
Party ya ukweli ambayo haikuwahi kutokea mjini
Dodoma na hii ndio ilikuwa ni mara ya kwanza
kufanyika mkoani hapo nadni kiwanja kimoja tu cha
kijanja cha Matei Lounge. |