The site for daily Tanzania Hard News and Entertainment
Home/Events/News/Diamond Platnumz Akataa Milioni Mia Tano za Lowassa
Diamond Platnumz Akataa Milioni Mia Tano za Lowassa
Duuh Hayo sio Maneno yangu Jamani , Gazeti la visa limeandika katika ukurasa wa mbele maneno hayo kama inavyoonyesha
Limeandika
"Wakati wanamuziki wenzake wakilia njaa na kuoza kwa unga , Diamond
akataa 500 Mil za Lowassa, Aambiwa ni Pesa Maalum kwa kazi Maalum na
atakuwa Maalum 2015, Naye Ajibu : Hizo Pesa peleka makanisani , misikitini ..Inatosha sana"