MIAKA 15 YA DULLY SYKES ILIKUA HIVIIIIIIII
Siku ya jana December, Legendary wa Bongo Fleva Dully Sykes ambaye
ni mmoja ya wachache waliokuwepo kwenye muziki tangu siku za mwanzoni
na akaweza kudumu mpaka leo, aliandaa sherehe ya aina yake ambayo
ilifanyika Escape 1, Mikocheni Dar.
Kama
hukupata nafasi kuhudhuria hii unaambiwa hii ni moja ya sherehe ambazo
zilikusanya mastaa wengi zaidi kuliko tulivyozoea kuwaona kwenye show
nyingine, kulikuwa na surprise za nguvu ikiwepo wasanii ambao
hatujawasikia wala kuwaona kwa kipindi kirefu, Bushoke na Man X ambao walishiriki kwenye hii.
Hapa unaweza kuenjoy kilichotokea kwa kucheki picha hizi.
Msanii Bushoke, alitokea kama surprise kwenye stage na akapokewa kwa shangwe kubwa na mashabiki waliotokea jana Escape 1.
Banana Zahir Ally Zorro, huyu ni mmoja wa mastaa walioanza safari ya muziki muda mrefu na Dully Syskes.