KWA WALE WOTE MASHABIKI WA DIAMOND PLATINUZZZ HUO NDIIYO UJUMBE WAKE KWENU


 
Diamond amepost picha hiyo hapo chini ukiambatana na ujumbe huo kwa watu wake siku hii ya mwaka mpya!

Siku zote Kumbuka wewe ni mwanaume...na sisi wanaume tumeandikiwa Rizki zetu kuzipata kwa Tabu sana... Mateso, Manyanyaso, Kudharauliwa Kusimangwa, Matusi na Shida za kila aina... hivyo, mitihani unayoipitia sasa, isikukatishe tamaa.. amini ndio njia ama Daraja la kukufikisha kwenye mafanikio yako... Waswahili husema, "Ukiona kiza kinazidi tanda, ujue karibu Kunapambazuka"
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.