Tunda Man akiwasili Dar Live. Madansa wa Tunda Man wakiwasili Dar Live. Tundaman katika picha ya pamoja na madansa wake. Tunda Man akipozi kwenye 'Red Carpet' Peke yake.