TAZAMA PICHA ALIZOACHIA WOLPER KUAGA MWAKA 2014 NI SHIDAAAAAH TUUUU
Ikiwa zimebaki saa chache tu tuuage mwaka 2014 na tuupokee mwaka 2015, mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye mvuto wa namna yake, ameacha gumzo mtandaoni baada ya kutupia picha hizi na kuwatakia kheri ya mwaka mpya mashabiki wake.
Picha
hizi ambao alizitupia moja moja tangu jana zimeleta gumzo kubwa
miongoni mwamashabiki wale ‘kindakindaki’ wa mwanadada huyu, kwani wengi
hasa vidume wameoneka kuchanganywa kabisa na picha hizi na wengi wao
wamejikuta wakiachia "comment" za kumsifia hadi kupitiliza.