MPYAAAAA KUELEKEA MSIMU WA X-MAS MTU MMOJA AJITOKEZA NA KUJIITA YESU WENGI WAJITOKEZA NA KUMUABUDU


 
 
 
 
William Wanyonyi: Binadamu anayejiita Mungu na Kuabudiwa kama Mungu...


William Wanyonyi: Binadamu anayejiita Mungu na Kuabudiwa kama Mungu...
Hapa ndiyo nyumbani kwake
Jina lake halisi ni William Wanyonyi,makazi yake makubwa yamekuwa karibu na mlima Elgon na inasemekana ana wafuasi zaidi ya 1000 ana wake 25 na watoto zaidi ya 95.

Baadhi ya wafuasi wake walilalamika kulipishwa michango kama vile chakula n.k huku wakiwa na hali mbaya sana ya kiuchumi.dhehebu lake analiita "lost israelites" na kudai kuwa mlima Elgoni ndio mlima zion. 


Anasema yeye ndiyo baba yake yesu,kwa kuwa watu hawakumsikiliza basi aliamua kuja yeye mwenyewe.

 Anasema yeye ndiyo Baba yake Yesu, kwakuwa watu hawakumsikiliza basi aliamua kuja yeye mwenyewe. Dhehebu lake analiita "Lost Israelites" na kudai kuwa Mt. Elgon ndio mlima Zion.

Theme images by hanoded. Powered by Blogger.