The site for daily Tanzania Hard News and Entertainment
Home/Entertainment/SHILOLE ASEMA HATO ACHA KUSHIKWA NA WANAUME JUKWANII
SHILOLE ASEMA HATO ACHA KUSHIKWA NA WANAUME JUKWANII
Baada
ya watu kuongea sana kuhusu jinsi Shilole anavyo fanya show zake na
staili ya kuwapandisha wanaume jukwaani na kucheza nao kwa staili ya
nisheke popote ...Amejitokeza na kuongea na chombo kimoja cha habari na
kusema yeye hajivunjii heshima kama watu wanavyosema bali anakizi
mahitaji ya mashabiki wake..."watu wanapenda
sana jinsi navyofanya ...ni njia moja wapo ya kuchangamsha show
jukwaani kwahiyo sioni tatizo hapo ...wanaosema najivunjia heshima
niwashamba..mimi ni msanii lazima nitafute njia ya kuwapa burudani
mashabiki wangu....