Tujiulize mzazi huyu anamfundisha nini mwanaye na je akiwa ,kubwa akaona picha hizi atajifunza nini kutoka kwa mamaye. Ombi langu kwenu ni kwamba japo tunaapenda kuonesha nyyeti zetu lakini tusiwahusishe watoto wetu kabisa.