Video: Vibanda vya “Dagaa Dagaa” Shekilango vyabomolewa

Mahakama ya Kisutu imetoa amri ya kuvunjwa kwa vibanda vya biashara vya Shekilango maarufu kama ‘Dagaa Dagaa” jijini Dar es Salaam. Sehemu hiyo ilikuwa maarufu kwa kuuza vinywaji baridi na nyama choma nyakati za jioni katika wilaya ya Kinondoni. Serikali ya Rais John Magufuli imekuwa ikivunja makazi yaliyojengwa kiholela na karibu na vyanzo vya maji.
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.