TANGAZO KWA WASAILIWA WOTE WATAKAOFANYA USAILI KUANZIA TAREHE 11 HADI 16 FEBRUARI 2016


PDFPrintE-mail
TANGAZO LA KAZI DEC 29, 2015SEKRETARIETI YA AJIRA INAPENDA KUWATAARIFU KUWA ENDAPO MSAILIWA YEYOTE ANA USAFIRI WAKE BINAFSI ATAFUTE ''PARKING'' NJE YA MAKTABA KUU YA TAIFA, KWA KUWA HAKUNA GARI LA MSAILIWA LITAKALORUHUSIWA KUPAKI NDANI YA OFISI ZA MAKTABA KUU KUTOKANA NA UFINYU WA PARKING ZILIZOPO. 
KILA GARI LITAKAGULIWA ENDAPO ITAONEKANA HUNA KITAMBULISHO CHA MTUMISHI WA OFISI ZILIZOPO NDANI YA MAKTABA GARI LAKO LITAZUILIWA KUINGIA NDANI.

TUNAPENDA KUWAOMBA WASAILIWA WOTE  WATAKAOFANYA USAILI TAREHE 11 HADI 16 FEBRUARI 2016, KUZINGATIA TANGAZO HILI ILI KUEPUKA USUMBUFU USIOKUWA WA LAZIMA.

Imetolewa na Utawala
             Sekretarieti ya Ajira
MAELEZO ZAIDI BONYEZA HAPA
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.