Ratiba ya Ligi ya Uingereza Weekend Hii.


Mechi za Ligi kuu nchini Uingereza maarufu kama EPL kuendelea tena weekend hii huku kila timu ikijaribu kupata matokeo mazuri yatakayo waeka katika nafasi nzuri kwenye jedwali la ligi hiyo.
Muda ni kwasaa za Afrika Mashariki
Jumamosi 13 Februari 2016
Sunderland v Manchester United Stadium of Light 15:45
Swansea City v Southampton Liberty Stadium 18:00
Norwich City v West Ham United Carrow Road 18:00
Everton v West Bromwich Albion Goodison Park 18:00
Crystal Palace v Watford Selhurst Park 18:00
Bournemouth v Stoke City Vitality Stadium 18:00
Chelsea v Newcastle United Stamford Bridge 20:30
Jumapili 14 Februari 2016
Arsenal v Leicester City Emirates Stadium 15:00
Aston Villa v Liverpool Villa Park 17:05
Manchester City v Tottenham Hotspur Etihad Stadium 19:15
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.