Mkutano wa CUF na viongozi wa ngazi za Wilaya na Majimbo ya Unguja

 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi wa CUF ngazi za Wilaya na Majimbo ya Unguja katika mkutano uliofanyika ukumbi wa Majid Kiembe Samaki
 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi wa CUF ngazi za Wilaya na Majimbo ya Unguja katika mkutano uliofanyika ukumbi wa Majid Kiembe Samaki
 Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa CUF Ismali Jussa Ladhu, akizungumza na viongozi hao wa Wilaya na Majimbo ya Unguja.

Baadhi ya viongozi wa Wilaya na Majimbo wa CUF upande wa Unguja, wakijitokeza kumsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, huko ukumbi wa Majid Kiembe Samaki. (Picha na Salmin Said, OMKR)
Above is the content the blog provided. If incomplete, read the original here.
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.