MBUNGE PROFESA JAY AKIWA KATIKA MAZOEZI WIKENDI HII


Profesa Simba, na Mwenyekiti wake Simba...!
Pichani nikifanya mazoezi mepesi na Joseph Haule kabla ya mbio za marathon na Jumamosi iliyopita uwanja wa Jamhuri. Joseph Haule ni rafiki yangu wa miaka mingi na ni Mbunge wa Mikumi ( Chadema). Profesa alikimbia Kilomita 2.5 na mimi KM 21.1. Ameahidi mwakani atakula sahani moja na Mwenyekiti wake kwenye KM 21.1...
Maggid,
Iringa.
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.