KAKA AMPA MIMBA DADA YAKE BAADA YA KUWA NA MAPENZI YA SIRI KWA MDA MREFU
Timu ya ‘Leo Tena‘ iligusia hii Hekaheka mwisho wa wiki iliyopita ambapo kisa chote kinahusu mtu na dada yake kuwa na uhusiano wa kimapenzi.
Ndugu wamesema walijaribu kuwatenganisha lakini hakuna kilichobadilika, wameendelea na uhusiano wa kimapenzi na hata kuna wakati dada huyo na mke wa kaka yake waliwahi kuwa na ugomvi… baadae mwanaume huyo aliwahi kuonekana akihangaika kutaka kumtoa ujauzito dada yake ambao majirani wanahisi ni ujauzito wa kaka huyohuyo.
Mke wa jamaa huyo amesema huwa wanalala chumba kimoja yeye, mumewe na mdogo wa mume wake… mwanamke huyo amesema mumewe alidai hana uwezo wa kupanga vyumba viwili.