The site for daily Tanzania Hard News and Entertainment
Home/Udaku/HUU NDIYO UKUBWA WA MIMBA YA WEMA KWA SASA[5PICHA]
HUU NDIYO UKUBWA WA MIMBA YA WEMA KWA SASA[5PICHA]
Drama juu ya ujauzito wa Miss Tanzania 2006 na CEO wa Endless Fame, Mbongo Movie Wema Sepetu bado inaendelea baada ya kutupia picha hizi kwenye account yake ya Instagram ambazo zinaonyesha ukubwa wa tumbo lake kwasasa.
Picha hizi zilipigwa kwenye uzinduzi wa video ya Lupela yakwake Alikiba mwishoni mwa weeek iliyoisha.