GHARAMA YA SAA HII YA DAVIDO INANUNUA MAGARI 20
Ukiambiwa utaje wasanii ambao wanafanya vizuri time hii kwa Afrika, Jina la Davidohuwenda lisikosekane kwenye list. Staa ambaye kwa sasa anamiliki mdundo wake aliomshirikisha Olamide ‘The money‘. Feb 12 Davido ameingia kwenye headline kupitia mtandao wa twitter baada ya kuonyesha mashabiki wake saa anayomiliki kwa sasa aina ya ROLEX nakusema bei yake inanunua magari 20.