CHADEMA WAMPIGIA MAGOTI DK. SLAA
Habari kutoka katika gazeti la TAZAMA ukurasa wake wa mbele linaripotikua CHADEMA, Bado inamhitaji DK. Slaa Ili aweze kurejea katika chama hicho ila baada ya kuombwa na baadhi ya viongozi wa Chama hicho iliaweze kureje CHADEMA, Kuendelea kushikiria nafasi yake kama Naibu mkuu kiongozi huyo mkongwe kwenye Chama hicho aligomea ombi hilo kua kamwe hawezi kurudi katika chama hicho.....Habari zaidi soma Tazama ukurusa 2
