Breaking News: Ajali Nyingine Tanga..Basi la Simba Mtoto Limegongana Uso kwa Uso na Semi Trella


Ndugu zangu inavyosemekana Tanga kumetokea ajali kubwa ya bus la Simba Mtoto ya saa kumi na mbili inayondoka tanga kuja dar na imekutana na Semi Trella uso kwa uso kwenye maeneo ya panda mlima jirani na hale majeraha wako muheza teule na maiti bado zimebanwa kwenye bus subhaana llah eemungu tusitiri wajawako na utujaalie mwisho mwema inshallah




 HABARI ZA KIDAKU BONYEZA HAPO CHINI
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.