ZITTO KABWE AWAPA ONYO KALI CCM NI BAADA YA KUONESHA MABANGO YA KIUBAGUZI

Siasa za. Hatari sana hizi. Siasa za kibaguzi. Siasa zinazopaswa kulaaniwa na kila mpinga ubaguzi nchini. Nitashangaa sana kama wakubwa CCM hamtaomba radhi kwa siasa hizi hizi mbaya kabisa. What will be the stop?
 SOURCE; ZITTO KAMBWE FACEBOK


Theme images by hanoded. Powered by Blogger.