Wasanii Wanaodaiwa Kutumia Madawa ya Kulevya, ni Yupi Anayekusikitisha?
Kati ya wasanii (wanaodaiwa 'kula unga')
ambao huwa nikiwaona walivyopungua na kupoteza mwili mzuri waliokuwa nao
hapo awali ni Chid Benz.Je, kuna ambae kwa upande wako anakusikitisha?