WIMBO WA DIAMOND PLATINUMUZ UTANIPENDA REMIX WATUMIKA KUIKEJELI YANGA BAADA YA KUTOLEWA MAPINDUZI CUP HAPO JANA>>HEBU IMBA NA WEWE WIMBO HUU UFIKIE UJUMBE JAGWANI

??Gafla vipoint sina nmerudi jangwani ee
??Nmeshindwa kufika final kwa penalty nmetoka ee
??Busungu penalt amekosa mwaishuya ndo hatareeee
??Kamusoko limebaki jina mirasta ukanyoeeee
??Oooh wale shabiki zangu walonisifu kwa maneno matam
??Leo maadui zangu ni mitusi kwa instagram
??Manji boss wangu eti nae hanifaham
??Hata jeny muro nikimpigia ananifokea kama salamu
??Na magazeti ya nyumban kwa kukusabai siunajuaga
??Utasikia tafaran eti simba kwa mtibwa wamemwaagwa
??Na venye tulivo wanyonge tabia ya kuwajibu hatunaga
??Kama naziona zile 5 za zamani tulizo wafungaga
??Ooh nayosema yana mana sababu hakuna anaejua kesho
??Anayepanga ni rabana ila ameificha ni komfidesho
??Ukisali omba sana jeny muro asije kuwa kochekesho
??Mana rafiki wa Jana ndio adui mkubwa keshoo.......
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.