Vituko Vya Binti wa Mama Mwenye Nyumba

Asalaam wana bodi.
Mimi ni kijana nimemaliza chuo miaka mitatu imepita,sijaoa,nikabahatika kupata chumba cha kupanga hapa mjini, na nimekaa hapa kwa takribani miaka miwili sasa.,cha kusangaza ni tabia ya binti wa mother house kwa siku za hivi karibuni imebadilika sana.,akifua nguo anaanika vyupi vyake kwenye kamba iliyopo jirani na dirisha langu tena anazisogeza upande wa nyumba nnayoishi,wakati upande we nyuma ya nyumba yao kubwa kuna kamba za kutosha za kuanikia nguo,yeye anakuja kuanikia upande wangu,wakati mwingine utakuta chupi mbili kazitandaza pembezoni kabisa jirani na dirisha. Leo nimetoka kazin mapema kidogo ili niwahi kufua cha.kushangaza ile nafika nakuta kamba imejaa vyupi na blazia mpka ikabid niahirishe. Nimevumilia nimeshindwa naomba ushauri wakuu nifanyeje,maana nguo nyingne anaanika kwenye kamba nyingine lakin zake za ndani lazima aanike jirani na dirisha langu.
Nimechoka wakuu.
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.