Hivi Binti Akikuambia Haya Maneno, Anakua Anamaanisha Kweli au Fix Tu?

Mambo vipi wanaume wenzangu marijali?

Hivi mfano uko kwenye mahusiano na binti anakuambia haya maneno kuwa ''Honey, i will die in your arms'' hivi huwa wanamaanisha kweli au ndio kuongopeana tu ili nizidi kumpa hela?













Theme images by hanoded. Powered by Blogger.