Viiongozi wa UKAWA Wakutana Dar



Aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania, Edward Lowassa wakati viongozi wa UKAWA walipokutana jijini Dar es Salaam, Januari 19, 2016. 
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.