REKODI YA MWAKA ALIKIBA AITEKA KENYA ZAIDI YA MASHABIKI ELFU 10 WAMFUATA





“Show imepata mahudhurio makubwa ya wapatao watu zaidi ya 10,000,” msemaji wake ameiambia Bongo5.
“Ilihudhuriwa na viongozi wa serikali ya county ya Machakos akiwepo Gavana na familia yake. Aliperform kuanzia 00:00 mpaka 03:00.”
Jionee picha zaidi.




Theme images by hanoded. Powered by Blogger.